Stay informed with the latest healthcare news and tips
Catch up on recent news and developments from Aluta Clinica
Kalori ni kipimo cha nishati tunayopata kutoka kwenye chakula. Mwili hutumia kalori kufanya kazi zote – kutoka kupumua hadi kutembea au kufanya mazoezi..
Watu wengi wenye magonjwa ya moyo (kama vile shinikizo la damu, mshtuko wa moyo, au kiharusi) hukumbwa na changamoto ya kutokufuata matibabu kikamilifu au hata kukataa kabisa kwamba wana ugonjwa. Hii ni hali ya kawaida na inaweza kuwa hatari kwa maisha yao. Sababu Kuu za Kutofuata Matibabu au Kukataa Ugonjwa.
akiwasilisha baadhi ya matokeo yake ya awali ya Utafiti wa Dawa ya kutibu Ugonjwa wa Kalki ya Mishipa ya Damu katika Kongamano la Tatu la Kisayansi la Kimataifa liloshirikisha Wanafunzi na Wakufunzi kutoka Vyuo Vikuu 30 vya Tiba nchini China lilofanyika tarehe 29/5/2025. Zijue Sababu za Ugonjwa wa Kalki ya Mishipa ya Damu (Medial Arterial Calcification) katika Binadamu, Matibabu yake na Kinga.
Stay on top of your health! Aluta Clinica Specialized Polyclinic is pleased to announce our Monthly Health Check program — offering Blood Pressure, Blood Sugar, and BMI checks every Saturday of the last week of each month. When: Every last Saturday of the month ⏰ Time: 8:00 a.m. – 16:00 p.m. 📍 Where: Aluta Clinica Specialized Polyclinic, Dodoma Take this opportunity to monitor your health status, get professional advice, and learn how to maintain a healthy lifestyle. Your health matters — prevention starts with knowing your numbers! For more information, contact us at: 0627993300.
1. Vyakula vyenye mafuta mengi Mfano: chipsi, vyakula vya kukaanga ➤ Huvuruga usagaji wa chakula na kusababisha kiungulia. 2. Vyakula vyenye sukari nyingi Mfano: soda, peremende, keki ➤ Huchochea nishati kupita kiasi na kuvuruga usingizi.
Utafiti wetu uligundua kuwa kula ndizi iliyopikwa kuna faida nyingi zaidi kiafya kuliko kula wali. Ndizi zina virutubisho vingi na zinaweza kusaidia katika kudhibiti uzito na kuboresha afya ya moyo.
Namna ya kuandaa menyu ya kila siku kwa wagonjwa wa kisukari (diabetes), shinikizo la damu (hypertension), na ugonjwa sugu wa figo (CKD) ikigawanywa kwa asubuhi, mchana, na jioni. Menyu hizi ni kwa mfano mmoja wa siku, zikitilia mkazo lishe bora kulingana na hali ya mgonjwa --- 1. Mgonjwa wa Kisukari (Diabetes) Asubuhi: Uji wa dona usio na sukari (vikombe 1–2) Mayai 2 ya kuchemsha Parachichi kidogo au ndizi moja ndogo Kikombe cha chai ya rangi bila sukari Mchana: Ugali wa dona kiasi kidogo Samaki wa kukaangwa kwa mafuta kidogo au kuchemshwa.
wanavyopaswa kuandaa lishe yao ya kila siku: --- Mlo Kamili ni Nini? Mlo kamili ni chakula kinachojumuisha makundi yote muhimu ya virutubisho kwa uwiano unaofaa, ambavyo ni: 1. Wanga (kama ugali, viazi, wali) 2. Protini (kama nyama, maharagwe, samaki, mayai) 3. Vitamini na madini (kupitia matunda na mboga za majani) 4. Mafuta ya afya (kama mafuta ya alizeti, karanga, parachichi) 5. Maji ya kutosha.
Chai ya rangi bila sukari ni kinywaji maarufu duniani na inajulikana kwa kuwa na manufaa mengi kwa afya. Hapa chini ni baadhi ya faida za kiafya za kunywa chai ya rangi bila sukari:.
Simple daily practices for better health and wellness
Drink at least 8 glasses of water daily to maintain optimal body function and energy levels.
Aim for 30 minutes of moderate physical activity most days of the week for better health.
Get 7-9 hours of quality sleep each night to support physical and mental well-being.
Eat a variety of fruits, vegetables, whole grains, and lean proteins for complete nutrition.
Wash your hands frequently with soap and water to prevent the spread of infections.
Practice stress management techniques like meditation and maintain social connections.